FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Yeah lakini hawashambulii sana ni kama wanazurura tu uwanjani, mechi asilimia kubwa inachezwa nusu uwanja, kipa wa congo unaweza mpa kitanda alale tu maana mpira haumfikii sana
Hatuwezi kupata goli labda la kubahatisha maana tunacheza nyuma mda wote Sasa huu ni ujinga.

Mipira ya Juu hakuna tunayo win lakini wachezaji wanapiga hivyo hivyo, upuuzi
 
Vijana Leo wanajituma kweli kweli au ndio Yale ya wahenga : mbio za sakafuni huishia mlangoni
Tungeanza hivi mwanzoni hat ungekuwa tunaburuza mkia kweli naenjoy : communication, ball control, pass accuracy, counter attack na speed

Kila la kheri Taifa Stars,
Karibuni Wana jamvi tuchambue
 
Back
Top Bottom