FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Hatuwezi kupata goli labda la kubahatisha maana tunacheza nyuma mda wote Sasa huu ni ujinga.

Mipira ya Juu hakuna tunayo win lakini wachezaji wanapiga hivyo hivyo, upuuzi
Back passes ndio zitatucost na leo mkuu, mwingine anampigia mwenzie pass haimkuti mpaka aikimbilie tayari mpinzani kashamuwahi, leo tukishinda ni bahati
 
Kuna move moja hapo jamaa alikuwa anaomba mbele mwenye mpira akarudisha. Hii inasababisha kutumia muda mwingi sana kufikia mazingia ya kupata goli.
Kama wameamua kuanza na washambuliaji 2 na beki 8 ilitakiwa hao washambuliaji wawe wenye kasi. Samata anaogopa kugongana kabisa siku hizi
 
Back passes ndio zitatucost na leo mkuu, mwingine anampigia mwenzie pasi haimkuti mpaka aikimbilie tayari mpinzani kashamuwahi, leo tukishinda ni bahati
Hatutaki backpass na wakifika Goli la Congo watie mashuti mwambie Mgunda hapo na huyo Hemmed Moroko tunataka Mashuti kwenye Goli la Congo
 
Back
Top Bottom