joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wazee wa kubet uzalendo moyoni, ila kwenye mkeka wamempa DRC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu.Sio kilingara ni kilingala
Kaacha kufunga Goli pale alafu unasema niniFeisal angekuwa senegal ni mchezaji bora sana,, ukiwa katikkati ya nyumbu na wewe ni nyumbu tu
Ndiyo tulivyokubalianaWazee wa kubet uzalendo moyoni, ila kwenye mkeka wamempa DRC.
Ni kweli, move zake zinakosa connectivity na wenzake.Feisal angekuwa senegal ni mchezaji bora sana,, ukiwa katikkati ya nyumbu na wewe ni nyumbu tu
Back passes ndio zitatucost na leo mkuu, mwingine anampigia mwenzie pass haimkuti mpaka aikimbilie tayari mpinzani kashamuwahi, leo tukishinda ni bahatiHatuwezi kupata goli labda la kubahatisha maana tunacheza nyuma mda wote Sasa huu ni ujinga.
Mipira ya Juu hakuna tunayo win lakini wachezaji wanapiga hivyo hivyo, upuuzi
Kama wameamua kuanza na washambuliaji 2 na beki 8 ilitakiwa hao washambuliaji wawe wenye kasi. Samata anaogopa kugongana kabisa siku hiziKuna move moja hapo jamaa alikuwa anaomba mbele mwenye mpira akarudisha. Hii inasababisha kutumia muda mwingi sana kufikia mazingia ya kupata goli.
😁😂😂Mayele tuliza akili usiniangushee
Hahaha makosa madogo tu hayo mkuu, ila feisal alipaswa awe man cityKaacha kufunga Goli pale alafu unasema nini
Tunajilinda,hatuna on target hata Moja Hadi sasaBack passes ndio zitatucost na leo mkuu, mwingine anampigia mwenzie pasi haimkuti mpaka aikimbilie tayari mpinzani kashamuwahi, leo tukishinda ni bahati
Tumia live sports ipo play storeNime switch app kutoka live football kwenda Azam Max
Quality ya Azam Max ni mpaka ufumbe jicho moja
Feisal utofauti wake na kudus ni nguvu za kumiliki mpira na spidiNi kweli, move zake zinakosa connectivity na wenzake.
Hatutaki backpass na wakifika Goli la Congo watie mashuti mwambie Mgunda hapo na huyo Hemmed Moroko tunataka Mashuti kwenye Goli la CongoBack passes ndio zitatucost na leo mkuu, mwingine anampigia mwenzie pasi haimkuti mpaka aikimbilie tayari mpinzani kashamuwahi, leo tukishinda ni bahati
Wapi?Tunaenda vizuri.