FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Leo Jumatano 24.01.2024.

Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania

Kikosi cha Tanzania
View attachment 2881901

Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo
View attachment 2881904
Bora nikae naweza kuita ndoto nzuri kuliko kukesha kuwaangalia akina Manula, shabalala, samata na uozo mwingine. Mtamisimulia kesho
 
Back
Top Bottom