FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Dakika 8 mchezaji wa DR Congo anamcheza rafu mbaya mbwana samata
 
Congo wanakamia Goli wanapata hata Faulo za kulazimisha hawa jamaa wa kwetu wakishika mpira wanapiga backpass tu mwanzo mwisho
 
Hawa jamaa inatakiwa tuwavizie, tukiwafunga goli la mapema tutawaamsha watufumue magoli ya kutosha. Twende halftime bilabila. Dakika ya sabini hivi tunawagonga moja alafu tunawashambulia kwa nguvu kuwatisha ili wasitafute kurudisha.

Yaani hapa kutoboa inahitaji kuwa mjanjamjanja flani.
Kwamba washinde kiujanja ujanja sio
 
Back
Top Bottom