FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Hawakabi mipira inapita tu ndio waifunge Congo wanabutubutua tu mipira hawatulizi mipira backpass kibao
 
Kizimkazi tena mboni wanasema sababu wamevaa Logo ya Simba basi wale wanaocheza ni Sawa na wachezaji wa Simba kwa hio Congo DR leo wanacheza na Simba
Hakuna Simba hapo, ninarudia ua kizimkazi hao hadi wasahau mlango wa kutokea uwanjani.

Kila la heri ndugu zake papa mobimba
 
Kwa nini tunashindwa Kutengeneza nafasi Kwa kusonga mbele badala yake timu inacheza nyuma?
 
Hawa jamaa inatakiwa tuwavizie, tukiwafunga goli la mapema tutawaamsha watufumue magoli ya kutosha. Twende halftime bilabila. Dakika ya sabini hivi tunawagonga moja alafu tunawashambulia kwa nguvu kuwatisha ili wasitafute kurudisha.

Yaani hapa kutoboa inahitaji kuwa mjanjamjanja flani.
 
Timu inacheza defensive ndio utapata goli?
 
Back
Top Bottom