FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Kwa hiyo tukubali mechi tulizopoteza huwenda ilisababishwa na kukosekana kwa ahadi ya kitita kama hamasa?
Siwezi kusema kuwa hiyo ndio sababu kuu, najaribu kuisaka sababu kuu sipati jibu kamili, mara zote huwa naamini kiwango chetu ni kidogo ndio sababu kuu, ila leo wamejitutumua.
 
Hizi back pass wanazopiga zinaleta kinyaa!!!
 
Sasa Feisal atolewe, naona pumzi imekata
 
Naona sasa ni kama tunakata moto, ila kwa hiki walichoonesha inatosha.

Labda mwalimu aongeze nguvu mpya.
 
Ingiza KIBU D twaweza kupata penalty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…