Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #481
ππPamoja na kujitahidi bado tuna zero on target
Itakuwa game ya pili zero on target balaaaPamoja na kujitahidi bado tuna zero on target
Waoga afu wazito sijui wana kipi cha kupotezaStars wanapojenga shambulizi, hawaongezeki ktk box.... kocha hajaliona hili?
Bora zero on target leo, ile iliyopitaPamoja na kujitahidi bado tuna zero on target
Hatujapata on target lakini pia hatujafungwa hata moja katika goli zaidi ya 2 ambazo kuchwani ilikuwa ni rahisi kufikiria "tz leo inakufa si chini ya goli 2"Pamoja na kujitahidi bado tuna zero on target
Kusapoti watu wapumbavu Nako ni shida ,timu Haina hata Dalili za kufunga ,
Hatujapata on target lakini pia hatujafungwa hata moja katika goli zaidi ya 2 ambazo kuchwani ilikuwa ni rahisi kufikiria "tz leo inakufa si chini ya goli 2"Pamoja na kujitahidi bado tuna zero on target
Vipi kuhusu makocha wazawa bado una msimamo ule ule?Pamoja na kujitahidi bado tuna zero on target
Huyo jamaa dalali soko la mabiboHii timu haina kocha
Samata naye angepumzika sasa.
Ile tulikuwa na on target 2 na back passes kama 600 hiviBora zero on target leo, ile iliyopita