FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Hatujapata on target lakini pia hatujafungwa hata moja katika goli zaidi ya 2 ambazo kuchwani ilikuwa ni rahisi kufikiria "tz leo inakufa si chini ya goli 2"
Pamoja na hayo huu mpira wa malengo

Wenzetu hata wakitoa sare wanapita, so tusijifariji kihivyo kwasababu naamini hii mechi ingekuwa upande wao wakuhitaji matokeo ya alama tatu basi wasingecheza kama sisi
 
Kwa nini Samatta anacheza nyuma sana? Halafu kuna mcha mbuuuzi aliandika anapangwa kwa sababu ya fear effect
 
Congo mnataka kuniangusha na nilishawapa pesa yangu?
Wee fanyeni nichukue changu kwa Muhindi, Lol
 
Back
Top Bottom