FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Baada ya hii afcon Samatta na Msuva wastaafu tu kimataifa, hakuna wanachoongeza kwenye hii timu na kiuwezo hawana tofauti na wachezaji wa kawaida wa ligi kuu.
 
Walivyowatoa tu kii players Nami nikaacha kuangalia.
 
Congo mnataka kuniangusha na nilishawapa pesa yangu?
Wee fanyeni nichukue changu kwa Muhindi, Lol
Pole, hii afcon ni kiboko, imejua kunifilisi kwa haraka haraka ni kama M 2 hivi wamepita nayo.
Game za
Misri vs msumbiji
Algeria vs angola
Japan vs iraq
Guinea vs ivory coast

Zimenifilisi zimeniacha na vidonda sijui nitaponaje, nilikuwa nishaacha huu mchezo sijui ibilisi gani kaniingia nimecheza huu mchezo 😔😔
 
Tupongeze panapofaa kupongezwa, hao kongo wamekuja kusaka point 3, droo ni wamekutana nayo tu.

Mie siangalii matokeo kiujumla, mie natizama mchezo kiujumla, tumeonesha mchezo mzuri, tulivyocheza na morroco sio na zambia, sio na congo, hii game tumeicheza kiume saana
Nadhani hata hiyo droo ni wao walijitengenezea mazingira ya kujirahisishia kwenye michezo iliyopita.

Na ndio maana droo inaleta advantage kwao na sio kwetu.

Lakini kama ulivyosema kuwa tunastahili kujipongeza ni sahihi hata mimi nakubaliana

Hoja ya msingi ni kwanini tujipongeze kwenye kuzuia kufungwa kuliko kujipongeza kwenye ushambuliaji ambako ndio sehemu muhimu kwenye mechi ya do or die?
 
Back
Top Bottom