FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Hapa ungekuta timu kama Misri ungefurahi na roho yako jinsi wanavyosaka goli. Sisi tumeridhiiika 🤣😂🤣
 
Pamoja na hayo huu mpira wa malengo

Wenzetu hata wakitoa sare wanapita, so tusijifariji kihivyo kwasababu naamini hii mechi ingekuwa upande wao wakuhitaji matokeo ya alama tatu basi wasingecheza kama sisi
Tupongeze panapofaa kupongezwa, hao kongo wamekuja kusaka point 3, droo ni wamekutana nayo tu.

Mie siangalii matokeo kiujumla, mie natizama mchezo kiujumla, tumeonesha mchezo mzuri, tulivyocheza na morroco sio na zambia, sio na congo, hii game tumeicheza kiume saana
 
Wewe huoni mpaka kipa wao analala?
 
Hapa ungekuta timu kama Misri ungefurahi na roho yako jinsi wanavyosaka goli. Sisi tumeridhiiika [emoji1787][emoji23][emoji1787]

Timu za kaskazi zinajua ku fight non stop

Wale jamaa watakuabdama hadi ukome
Halaf wanaumoja na accuracy
 
Kuna mtu amesema hapo juu kuna uwezekano wamepewa ahadi hata kwa kutoka sare ndiyo hiki tunachokiona hapa. Maamuzi ya kisiasa kuingiliana na maamuzi ya kimbinu na mahitaji ya timu
 
Back
Top Bottom