FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Nadhani hata hiyo droo ni wao walijitengenezea mazingira ya kujirahisishia kwenye michezo iliyopita.

Na ndio maana droo inaleta advantage kwao na sio kwetu.

Lakini kama ulivyosema kuwa tunastahili kujipongeza ni sahihi hata mimi nakubaliana

Hoja ya msingi ni kwanini tujipongeze kwenye kuzuia kufungwa kuliko kujipongeza kwenye ushambuliaji ambako ndio sehemu muhimu kwenye mechi ya do or die?
Tanzania hatuna kabisa uwezo wa kutengeneza winga na washambuliaji, hili ni tatizo kubwa, na ni kwasababu washambuliaji wengi na mawinga kwenye ligi yetu ni wageni.... Ila kwenye viungo na mabeki tupo vizuri, tatizo linaanzia hapa...
 
Pole, hii afcon ni kiboko, imejua kunifilisi kwa haraka haraka ni kama M 2 hivi wamepita nayo.
Game za
Misri vs msumbiji
Algeria vs angola
Japan vs iraq
Guinea vs ivory coast

Zimenifilisi zimeniacha na vidonda sijui nitaponaje, nilikuwa nishaacha huu mchezo sijui ibilisi gani kaniingia nimecheza huu mchezo [emoji17][emoji17]
Aiseeeeh poleeee 2M? mie leo niliweka 30k
Lakini navyoumiaa hapa, hiyo 2M wee kuwezaaa.
Lol
 
Jamaa hamna kitu anafanya makosa mengi

Out

Kichwa cha mwendawazi

Shida mnacheza kuonesha mnawezA badala ya kuchezA strategically

Hii game leo tungeshinda

Hivi watz ni waZuri kwenye nn ?

Kutiana tu na umbea
Nchi imejaa wakimbizi, hakuna hata wakulipigania taifa
 
Back
Top Bottom