Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #641
Sana yaani hadi nimelia sana ðŸ˜ðŸ¤£Aisee inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana yaani hadi nimelia sana ðŸ˜ðŸ¤£Aisee inasikitisha sana
Na Rais Samia au Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi au na Mwenezi Makonda?Hii timu yenu ya Taifa wanatakiwa watandikwe bakora
🤣Aisee inasikitisha sana
Mod imeemgusa hii,mpaka kaamua kuwa raia.🤣
Mpira kidogo, maneno meeeeeengiiiii 🤣🤣🤣.
Tanzania hatuna wachezaji wazuri wa ushambuliaji na viungo wa kushambulia tokea kati na tokea pembeni. Ndio maana vilabu vikubwa vya Simba,Yanga, Azam n.k wananunua wachezaji toka nje.
Leo kazi kweli kweli mpaka mods mmecomment 🤣🤣
Sio poa 🤣, mod nayeye ni mtu ana hisia, anapaswa asikilizweMod imeemgusa hii,mpaka kaamua kuwa raia.
Mod sio roboti🤣Sio poa 🤣, mod nayeye ni mtu ana hisia, anapaswa asikilizwe
🤣Mod sio roboti🤣
Hawa hawa lipumba au hawa waliojiunga na actCAF wenyewe wana fungu kubwa tu kwa timu zinazovuka kila hatua achilia mbali zawadi kwa mshindi. Nadhani wameona wenzao walivyo serious na mashindano ndiyo kidogo wameamka ila motisha ya kufanya vizuri imekuwepo siku zote.
Bora wangemchukua yule dogo wa yanga aliesajiriwa majuzi hapa shekhan kama sikosei, dogo ana ujasiri wa kupiga mashuti. Muda wa kufosi goli anapelekwa uwanjani anaweza akaotea moja ya maana, kwa kusema kweli viungo na washambuliaji sijaona hata mmoja aliepiga shuti la maana, cha kusikitisha zaidi sioni kizazi cha wafungaji wa kuokoa jahazi next afcon. Asilimia kubwa ya wachezaji watakua hawa hawa tu. Mabeki ukimtoa tshabalala ambae umri wake halisi una utata kidogo wengine wote watakua kwenye umri sahihi kwaiyo wakirudi hao hao sio mbaya ila kule mbele ndio sioni kizazi cha kuwa-replace samata na msuva. Next afcon tumaini letu litakua shekhan, yanga wamtunze vizuri yule dogo.Tatizo Ni pale kwenye kupika magoli na kufunga ndio uwezo wetu wa kufikiri unapoiashia,Fikiria Samatta ndio tegemeo anaogopa kuliface gaoal anarudisha mpira Kwa kipa,Timu imejengeka kutokea Kwa kipa,mabeki na viungo wakabaji,ila viungo washambuliaji na wafungaji Hakuna kitu,pili Kocha Hana upeo wa kuelewa game inataka Nini Kwa Muda gani,uoga bado unatutawala kocha anaogopa kufanya sub ili asifungwe anashindwa kujirupua kuishambulia mpaka upate Goli au penati.
Hahaaaaa jamaa wamejisikia uchungu maana ni watanzania nao.🤣
Mpira kidogo, maneno meeeeeengiiiii 🤣🤣🤣.
Tanzania hatuna wachezaji wazuri wa ushambuliaji na viungo wa kushambulia tokea kati na tokea pembeni. Ndio maana vilabu vikubwa vya Simba,Yanga, Azam n.k wananunua wachezaji toka nje.
Leo kazi kweli kweli mpaka mods mmecomment 🤣🤣
Nakusalimia tenaNipoo hapaa, muda badoo
Mbona utajionea mwenyewee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaitwa kuzurura uwanjani, ndio maana mshambuliaji Samatta akachoka mapema.Against Morocco: No shot on target
Against Zambia: 2 Shots on target
Against Congo DRC: No shot on target