kipanta
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 925
- 1,086
AsanteMorocco win
Taifa Stars win
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteMorocco win
Taifa Stars win
CAF wenyewe wana fungu kubwa tu kwa timu zinazovuka kila hatua achilia mbali zawadi kwa mshindi. Nadhani wameona wenzao walivyo serious na mashindano ndiyo kidogo wameamka ila motisha ya kufanya vizuri imekuwepo siku zote.Ni sawa pia, hakuna cha uzalendo nchi hii viongozi wa kiserikali wanakwiba asubuhi mchana na jioni, wao wakavunjike miguu eti wanapambania taifa, mzigo uwekwe mezani tutie miguu sehemu ya kuweka chuma.
Samata anapambana leo
Kichwa Cha mwehu sasaiv kitanyolewaTaifa stars wanacheza kama wamechoka flani hivi utasema walishiriki maandamano ya leo
Kwa kasi ya kipindi cha kwanza mimi nilitegemea watakuja kata moto tuTaifa stars wanacheza kama wamechoka flani hivi utasema walishiriki maandamano ya leo
Naomba link zinakujq nyingi nashindwa kujua ni ipiAndika livesport TV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo Stars kacheza vzr shida akipata goli halidumu kama ndoa za haji manara
Kile kipipa mkuu unaona kipo sawaHadi kim wa korea ni tahira?
Tiefu efu unawajua au unawasikia, hawachelewi kufinyia kwa ndani.. 😂CAF wenyewe wana fungu kubwa tu kwa timu zinazovuka kila hatua achilia mbali zawadi kwa mshindi. Nadhani wameona wenzao walivyo serious na mashindano ndiyo kidogo wameamka ila motisha ya kufanya vizuri imekuwepo siku zote.
Wangempa lango dogo Ati Zigi.Kuna timu siyo za kuziwekea dhamana mfano mmojawapo ni Ghana na Tanzania. Ghana juzi alikuwa anaongoza lakini sikutaka hata kucheki mpira wao nilijua watazingua tu, nikasema niwaangalie Misri maana ni watu wanaojitambua. Sikujutia uamuzi wangu, wote mliona kwa mafarao haiishi mpaka iishe.
Hivi wachezaji wa Tanzania wanajisikiaje wakiangalia wenzao wanavyopambania nchi zao? Kuzidiwa uzoefu au kipaji siyo inshu, onyesha kweli unautaka ushindi tutakuelewa hata ukibamizwa za kutosha. Kwenye mpira juhudi ni jambo la wazi halifichiki.