FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Ni sawa pia, hakuna cha uzalendo nchi hii viongozi wa kiserikali wanakwiba asubuhi mchana na jioni, wao wakavunjike miguu eti wanapambania taifa, mzigo uwekwe mezani tutie miguu sehemu ya kuweka chuma.
CAF wenyewe wana fungu kubwa tu kwa timu zinazovuka kila hatua achilia mbali zawadi kwa mshindi. Nadhani wameona wenzao walivyo serious na mashindano ndiyo kidogo wameamka ila motisha ya kufanya vizuri imekuwepo siku zote.
 
Punguza mabeki wawili ongeza washambuliaji timu itafute goli. Sare haitusaidii na hatuna cha kupoteza
 
Inawezekana kina Hemedi wameambiwa wazuie Wakipata sare kuja hela watapata ila sie washabiki hatujui
 
CAF wenyewe wana fungu kubwa tu kwa timu zinazovuka kila hatua achilia mbali zawadi kwa mshindi. Nadhani wameona wenzao walivyo serious na mashindano ndiyo kidogo wameamka ila motisha ya kufanya vizuri imekuwepo siku zote.
Tiefu efu unawajua au unawasikia, hawachelewi kufinyia kwa ndani.. 😂
 
Kuna timu siyo za kuziwekea dhamana mfano mmojawapo ni Ghana na Tanzania. Ghana juzi alikuwa anaongoza lakini sikutaka hata kucheki mpira wao nilijua watazingua tu, nikasema niwaangalie Misri maana ni watu wanaojitambua. Sikujutia uamuzi wangu, wote mliona kwa mafarao haiishi mpaka iishe.

Hivi wachezaji wa Tanzania wanajisikiaje wakiangalia wenzao wanavyopambania nchi zao? Kuzidiwa uzoefu au kipaji siyo inshu, onyesha kweli unautaka ushindi tutakuelewa hata ukibamizwa za kutosha. Kwenye mpira juhudi ni jambo la wazi halifichiki.
Wangempa lango dogo Ati Zigi.
 
Back
Top Bottom