Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #101
Hapana mkuu, form is temporary but class is permanent.Hawa si mliwasifia sana kwenye mechi iliyopita baada ya ushindi? Au ndio fata upepo?
Cha ajabu kipi?Uganda?
Hilo si tatizoFuture tutaipata vipi ilhali vilabu vyetu vikubwa 80% ya first eleven ni wachezaji wa nje?
Kazi yake huwa ni kugawia wachezaji wenzake majiSako na yy yupo kwa kikosi?
Muhamasishaji mkuu alikuwa Konki liquidUmesahau Bashite alitumwa na Jiwe aende Misri ili Stars ishinde?
Samata uchoyo gani sasa mfyuu
Yanga ni kama maji. Huwezi kukwepa kuyanywa. Hata bendera ya Taifa yenyewe imejaa rangi za Yanga. Au umeona kuna rangi nyekundu na nyeupe?Uniform za benchi la ufundi zimekaa kama za Yanga bana. Ni kama khanga imevaliwa juu ya blauzi. Mambo ya Sheria Ngowi haya nini 🤣😂🤣
Hazivutii. Ubunifu ni zeroYanga ni kama maji. Huwezi kukwepa kuyanywa. Hata bendera ya Taifa yenyewe imejaa rangi za Yanga. Au umeona kuna rangi nyekundu na nyeupe?
Hata mimi naona sio tatizo.
Hawa ndio mastaa wa ligi yetu.Future tutaipata vipi ilhali vilabu vyetu vikubwa 80% ya first eleven ni wachezaji wa nje?
Huo ni mtazamo wako. Ila sisi wengine tunaona ziko poa kabisa.Hazivutii. Ubunifu ni zero
Samia ni mwenzioCha ajabu kipi?
Huu ni uchawi Sasa, pesa zinatoka kwenye mfuko wa Rais consolidated fund, na siyo pesa za bajeti, hata wasipopewa Taifa stars haziendi popote zinarudii kwenye mfuko wa Rais.Uganda piga hao Tanzania, walau million 500 zipone zikafanye maendeleo. Zikanunue madawati n.k
UnamakengezaHuyu dismass ni unga hamna kitu
Mastar wa ligi yetu hakuna mbongo hata mmoja, hicho kizazi cha mpira mnakitengeneza vipi?Hawa ndio mastaa wa ligi yetu.
Jicho lako kwenye mambo ya ubunifu wa mavazi bado halijapevukaHuo ni mtazamo wako. Ila sisi wengine tunaona ziko poa kabisa.