Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Kwa nn mkuu mbona mechi aiendeleiMechi iharishwe ichezwe siku nyingine.
Meneja wa Uwanja atimuliwe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Pumba. Hebu jichane mwili wako kidogo tuone hiyo rangi ya damu kama inakwepeka.Yanga ni kama maji. Huwezi kukwepa kuyanywa. Hata bendera ya Taifa yenyewe imejaa rangi za Yanga. Au umeona kuna rangi nyekundu na nyeupe?
Wachezaji wameenda kukojoa [emoji28]
Kuna taa hazifanyi kaziSielewi kinaendelea nini hapa?
Sielewi kinaendelea nini hapa?
Wacheze tu liwalo na liwe