computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
ukisema hivyo Tanzania wanakutukana.Kila siku Kuna watu nawaambia football Haina shortcut mazee, Yani Haina kabisa shortcut, mpira Wala hauhitaji maneno mengi Kila kitu kinaonekana uwanjani hahah
3-0Eeh bora nkakua la 3
Dua zenu wakuuTimu ya hamasa itakuwa ya kwanza kufungwa nyingi
Simba imefungwa 3-0 mpaka sasaWakuu, Mnamwona Manula!!
Mnamlaumu bure kocha wachezaji wapo wp wa kufanya maajabu?Sio tu kwamba Tanzania tuna timu mbovu Bali kocha tuliyenae hana akili.
Red card kbs ile tena clear.Mtajua wenyewe
DoneeeBADOO MOJA