FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Hongera sana stars kwa kazi nzuri kweli hatuna tuko bora ila ushindi ushindi tu
 
Kuvuka bado ni mtihani na tukivuka kama unavyosema, hawa kina Samatta siyo wa kutuvusha.
Kuvuka yawezekana kutokana na matokeo ya Algeria ambapo anaweza uza mechi leo
 
Kuvuka yawezekana kutokana na matokeo ya Algeria ambapo anaweza uza mechi leo
Ila Algeria si ameshavuka? Yaani Uganda akishinda leo halafu asiruhusu goli, nafasi yetu itakuwa ndogo sana maana Niger hawataweka nguvu kwenye mechi ya mwisho na Uganda.
 
Ila Algeria si ameshavuka? Yaani Uganda akishinda leo halafu asiruhusu goli, nafasi yetu itakuwa ndogo sana maana Niger hawataweka nguvu kwenye mechi ya mwisho na Uganda.
Uganda anataka Draw tu afu amfunge Niger,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…