FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Tupatieni Standings..
Screenshot_20230618_181122_LiveScore.jpg
 
Hongera sana stars kwa kazi nzuri kweli hatuna tuko bora ila ushindi ushindi tu
 
Kuvuka yawezekana kutokana na matokeo ya Algeria ambapo anaweza uza mechi leo
Ila Algeria si ameshavuka? Yaani Uganda akishinda leo halafu asiruhusu goli, nafasi yetu itakuwa ndogo sana maana Niger hawataweka nguvu kwenye mechi ya mwisho na Uganda.
 
Uganda anataka Draw tu afu amfunge Niger,
 
Back
Top Bottom