3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Manjegeka ya Dula Makabila?Refa anaeleta Manjegeka ,kakataa penati aisee ila siyo mbaya kwa kumtoa mchezaji mmoja kwa red card.
😂😂😂Tutamteka
Na mimi nimesmstahi... 😂 😂 🐸 🐸 🐸Oya usitie nuksi uzi
Uzi umeukuta ukiwa unanukia vizuri naomba uuache ukiwa hivi hivi
Hawa jamaa wanacheza sana rafu
Hawapo mchezoni kabisaZambia wamepanic..
KabisaHawapo mchezoni kabisa
#295 DSTV utapata jibu mkuuHiyo sio channel ya mapishi kweli?
Refa muhuni huyuMwakienda kakanyagwa na Sangala....