Kibu na Shabalala wameshindwa kutumia vizuri Ile nafasi nzuri kabisa ..Ayaaaaa dah wamezingua sana
Tunakosa sana magoli ya waziMuwe mnasema nini kimetokea
Yania achaaa tuu nimeonaKuna counter attack hapa TZ tumekosa kutumia vizuri
Kabisa ila goli la 2 naliona hapaKibu na Shabalala wameshindwa kutumia vizuri Ile nafasi nzuri kabisa ..
twenzetuMimi naenda kulala dkk zilizobaki napata presha ya juu sitaki kufa...