Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
NdeziPumbavu
Timu inacheza ujinga wa back passes nyingi, Mohamed anakaribia kustaafu ila hawezi kupiga pass za mwisho, Kibu akili za mpira ni sifuri.Kwa huu uzembe tutafungwa muda sio mrefu maana tumeridhika huku Zambia wakiwa na uchu mkubwa
Anazuga fala uyo hafu karudi
Inawezekana wewe ni mhamiaji haramu!🤓Ee Mungu wape ushindi waZambia jamani.
Yeah exactly, ndicho ninachomaanisha, kwahiyo usiseme kwamba hakuna kituMpira hauko hivyo, utashangaa Zambia wanamfunga Morocco.
Kacheze wewe sasa.😁Tuna timu mbovu sana, nothing to brag about.
Feidal faulo zilimchosha ,amefanyiwa kama mara 4Sema Mwamnyeto, ametoka Feisal ila naona sub ilitakiwa iwe ya Mwamnyeto
Mbovu mno aisee, tunaangalia kwa vile ni timu yetu tu.Tuna timu mbovu sana, nothing to brag about.
Mkuu,Yeah exactly, ndicho ninachomaanisha, kwahiyo usiseme kwamba hakuna kitu