FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Hivi why hata mnampanga Samata ?

Yaani wachezaji wote wa SSC hata wa zamani ni tatizo

Ndio maana hakuweza ligi ya uingereza

SSC mumfukuze chama, anahoji maamuzi ya refa wakati wa tz ndio tunampa kula

Mtu mwenyewe hana impact tena
 
Back
Top Bottom