Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubwa sana!Samata ni tatizo.
Nje ya mada. Huyo ni wewe?Suala la Uzalendo mda mwingine ligumu sana,Kila lakheri T.Stars.. Japo hamtaenda mbali.
Shangaa wanamwacha SopuSamata naye kwenye timu ya Taifa kwa kweli mmmhh
Ndiyo mara ya kwanza kukutana na hii ID. Zamani ulikuwa unatumia ID gani mpendwa?Suala la Uzalendo mda mwingine ligumu sana,Kila lakheri T.Stars.. Japo hamtaenda mbali.
Yaani ilo bao 1 limewapumbaza wanajisahau. Chuma itarudi hapa.Hawa wachezaji wa Taifa stars hawajui ni nini wanakifanya
Hivi why hata mnampanga Samata ?
Yaani wachezaji wote wa SSC hata wa zamani ni tatizo
Ndio maana hakuweza ligi ya uingereza
Hapana.Nje ya mada. Huyo ni wewe?
Tupo🤣Wazambia msikimbie.
Nawajua kwa majina