Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Manjegeka neno la zamani sana, kuna kundi la comedy lilikuwa linafanya pale mnazi mmoja walikuwa wanaitwa Upendo Acrobatic Group au ukipenda Manjegeka Msingi Maneno ilikuwa 1995 ndiyo walikuwa wanafanya hiyo comedy.Manjegeka ya Dula Makabila?
Hii nchi jamani? [emoji24][emoji24]
KabisaNini tunaweza? Labda uchawa
Bora tuongezwe labda akili itatukaa sawaKwa match ilivyokuwa ilikuwa ni ya kushinda kabisa. No excuse... Mbele kule watu wana papara hawawasiliani.
Hussein pasi rahisi kwa kibu akawasijui anapiga wapi.
Na wakishangaa tunaongezwa.
Sisi watu wa Songwe na Mbeya na Taifa stars wapi na wapi?😂 Bado moja hawa.Zambia ndio tunaanza mechi🔥
HatuweziHawa Congo tutawaweza kweli tukikutana?