Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Imeniuma sana hii, daaah..!Hii mechi imeniuma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeniuma sana hii, daaah..!Hii mechi imeniuma sana
Hunishindi aiseeHivi kuna mtu anachukia back passes kama mimi?
Natukana mpaka sauti inaisha.
Atafutwe aliyetuambia sisi ni kichwa cha mwendawazimu.Jamani tusiwatukane hawa wachezaji wetu tuwashukuru tu ila tufahamu hapo ndio uwezo wao wa mwisho kabisa ulipofika..
Kama tunataka kuperform vyema lazima tff na wadau wa soka wafanye kazi ya ziada jamani.
Sio kuchapwa tu, na zaidi ya kuchapwaWachezaji wa Tz wanatakiwa kuchapwa 😀😀😀
Una kasirika ishu za kijinga🤣Hii timu inatia hasira sana
Tunajifanya ArsenalBack passes, ndio mchezo wetu.
Kabisa na wapigwe viboko 7Wachezaji wa Tz wanatakiwa kuchapwa 😀😀😀
Mashabiki au players?Oh! Pole.. 😀😀😀😀😀😀 next time muwe serious
Bora we useme. Wengine tukisema tunaambiwa hatuangalii mpira.Tshabalala hajielewi. Back pass kila muda. Pumbavu