Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Nilichogundua maombi yana nafasi ndogo sana kwenye soka na ndio maana hata ukiangalia timu yenye makombe mengi haitokei Vatican wala MeccaSina uwezo wa kutoa ban mkuu
La msingi ni tuiombee Taifa Stars washinde leo
mechi inachezwa sangapi..?
Balaaa.Hatuwezi
Oh! Pole.. ππππππ next time muwe seriousHii mechi imeniuma sana