FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Jamani tusiwatukane hawa wachezaji wetu tuwashukuru tu ila tufahamu hapo ndio uwezo wao wa mwisho kabisa ulipofika..

Kama tunataka kuperform vyema lazima tff na wadau wa soka wafanye kazi ya ziada jamani.
Atafutwe aliyetuambia sisi ni kichwa cha mwendawazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…