FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Stars wamecheza vizuri sana leo na wamemiliki mpira mwanzo mwisho na kupoteza nafasi 2 muhimu ambazo yalikua ni magoli ya wazi kabisa. Natumaini kocha suleiman mmoroko atarekebisha mechi ya mwisho tunamchapa Congo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Badala ya kupeleka mpira mbele wao mpira wanarudisha nyuma na pasi zenyewe zinaishia njiani! Nchi yetu ingekuwa na uongozi makini hawa siku wanarudi wanapelekwa moja kwa moja lugalo wakafunzwe adabu kama wiki 2 halafu ndiyo wanaruhusiwa kurudi majumbani kwao,wajinga sana.
 
MKUU KWA MTU ANAYEPENDA TAIFA LAKE LAZIMA ASEME UKWELI.
TUSEME UKWELI SERIKALI IFANYE UWEKEZAJI NA SI KUOMBA DUA HAYO NI MAMBO YA KIJINGA.
KAMA UNASEMA TZ ATAMSHINDA CONGO SEMA HAPA ILI TUJUANE
Nasema kwa sababu nimeona uwezo wa stars leo. Wamecheza vizuri sana na wameumiliki mpira dakika zote 90 .mistakes huwa zinatokea lakini kiukweli taifa stars wamepiga mpira mzuri sana. Kocha atarekebisha next game tukiongeza uwezo kidogo tu zaidi ya leo tunaitoa Congo.
 
Da aisee kweli tumetofautiana kuona
 
Yaan maisha yang yote hata iwe Bure nipewe na usafir kutok nyumban hadi uwanjan sitakaa niangalie mech ya Tanzania Bora mda Wang niangalie hata p()no kuliko huu upuuZ *****
 
Back
Top Bottom