FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Watu wa mikeka uzalendo kwanza madua yenu mabaya mnaliombea kantri
 
Hiyo mechi ya DRC,wachezaji karibia asilimia themanini ni warefu, magoli kama haya ya set pieces yatakuwa mengi siku hiyo.
 
Jadda, umeona?
Hapa tinaangalia uzalendo tu. Ila mpira kama mpira ni hakuna.
 
Timu ya taifa ina harufu ya rushwa, kuna namna baadhi ya selections za wachezaji flan flan zinafanywa ki upendeleo.

Hilo liko wazi kabisa!

Hiyo no kweli

Pia wanaangalia na majina

Sammata hakupaswa

Manula is good for nothing
 
Back
Top Bottom