FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Sijui why huwa anazembea ifikie mahali timu ivunjwe wacheze wachezaji wa klabu za ihefu...mtibwa...na wengineo hawa Simba na Yanga na wa huko nje wasicheze...
Bora tufungwe tukiwa na wachezaji wasiojulikana.
 
NBC Ligi sasa na ianze tumemis jukwaa letu..la Usimba na Uyanga...maana nakosa tumaini
 
Mkuu walitoka draw na Congo ambao wametoka draw na Morocco ambao walitupiga tatu
WARUDI TU TUPIGE POROJO ZA SIMBA NA YANGA. SIONI DALILI YA KUWAFUNGA CONGO. SANA SANA TUTADRAW TENA NDO MWISHO WETU
 
Back
Top Bottom