FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Zambia walikuwa pungufu
Hivi watanzania kweli waliona hata kuwa Zambia ni pungufu !? 😂😂

Tz, wazee wa kupaki bus
Staa wao samata anacheza kifaza.
 
Mimi ni mmoja wao ambao tuliamini tulikuwa na nafasi nzuri sana ya kumfunga Zambia leo kabla ya mechi na wakati wa mechi.

Matumanini yangu yalianza kukata kipindi cha pili kilipoanza nilipoona timu inacheza bila malengo.
Hukuona malengo yao ni kupaki bus
 
Nitafurahi sana kama kwenye hili kundi atapita Congo na Zambia.

Bora kuwa mzalendo wa Africa, Black for Africa, Africa for Black.
 
Mkuu sio kwenye afcon ni duniani Tanzania inaongoza kwa back pass alafu inafwatiwa na Man u
Yani nimesikitika sana jana, timu haiwezi kufosi kupeleka mpira mbele. Pass nyingi zinapigwa kurudi nyuma! Kuna muda pasi imetoka katikati karibia timu nzima ipo mbele, sijui ni mzamiru yule akarudisha mpira mpaka kwa manula wakat angeweza kupeleka mbele, aisee nilishangaa sana! Watu wote waliokuwa pale wanaangalia mpira wakabaki wanalaani tu!
 
Wangejifunza hata boli kwa Yanga ya kina Pacome!🤣...Nilikua naona mipira mingi wachezaji wetu wanarudisha nyuma nikawa najiuliza shida nini? Kwamba wanashindwa kufosi na ku create nafasi mbele. Bado hatujafikia level ya kuwa professional.
Wachezaji hawajui wanataka kufanya nini uwanjani.
 
Wangejifunza hata boli kwa Yanga ya kina Pacome![emoji1787]...Nilikua naona mipira mingi wachezaji wetu wanarudisha nyuma nikawa najiuliza shida nini? Kwamba wanashindwa kufosi na ku create nafasi mbele. Bado hatujafikia level ya kuwa professional.
Wachezaji hawajui wanataka kufanya nini uwanjani.
Kweli kabisa!! inabidi wajifunze sana. Kuna game nilicheki ilikuwa sijui ni burkina faso/guinea au timu gani ile madogo wanacheza mpira kwa spirit, wanafosi kupandisha mashambulizi. Taifa stars warudishwe nyumbani waekewe hiyo game waangalie waone wenzao wanavyocheza sio vioja wanavyofanya. Game ya jana ilikuwa yetu kabisa ujinga wetu ndio maana tumesuluhu.
 
Guinesa Bissau dhidi ya Gambia
Watu wanaforce kupeleka mpira mbele
 
Hiyo timu ikirudi ipitie gereza la Segerea ama Ukonga, pumbavu sana. Haiwezekana mnacheza na wachezaji 10 halafu hatuoni tofauti.

Tena hizo hela za kuwapa hawa Taifa stars sasa ziende kwenye maendeleo ya jamii tu, yaani aibu sana.

Kumbe tunajivunia na ligi la ndani kumbe ni mashindano ya viraza tukitoka tu nje ya Tz ndio tunaona rangi halisi.

Kwa hali hii hata tukibahatika kwenda world cup tutakwenda kuaibisha sio nchi tu bali bara zima la Afrika.

Wakirudi waziri husika afanye mpango angalau walale gerezani miezi sita au wafanye community work ya kuzoa taka jiji la Dar kwa mwaka mzima.
 
Yani nimesikitika sana jana, timu haiwezi kufosi kupeleka mpira mbele. Pass nyingi zinapigwa kurudi nyuma! Kuna muda pasi imetoka katikati karibia timu nzima ipo mbele, sijui ni mzamiru yule akarudisha mpira mpaka kwa manula wakat angeweza kupeleka mbele, aisee nilishangaa sana! Watu wote waliokuwa pale wanaangalia mpira wakabaki wanalaani tu!
Huo ndiyo mpira wa Mgunda sasa wa boli litembee, back passes kama zote. Ukiwaambia hao hao wachezaji wafanye hangaisha bwege, wanashindwa kupiga hata pasi 3 bila kupoteza mpira, watawezaje sasa kuforce shambulizi.
 
Back
Top Bottom