FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Kwahiyo mkuu una imani na huyu kocha? Maana mimi nimeangalia wapinzani wetu wote watatu sijaona mpinzani anayetisha wote ni wa kawaida tu ila shida ni uzembe wa Yanga wenyewe ulinzi ovyo, kumalizia ovyo.
 
Kocha angeanza na Mzize na Dibe tangu kipindi cha kwanza tungeshinda hii game. Mara mia kuwa na washambuliaji butu kuliko viungo na wakinbiaji kama musonda
Shida ya Mzize ukimuanzisha kipindi cha kwanza huwa anakera sana maamuzi yake yanakuwa ya ovyo ila muweke kipindi cha pili utampenda anavyowasumbua wapinzani.
 
Kocha angeanza na Mzize na Dibe tangu kipindi cha kwanza tungeshinda hii game. Mara mia kuwa na washambuliaji butu kuliko viungo na wakinbiaji kama musonda
Si utume maombi uwe kocha?Una Diploma A au Pro? Side anahitaji msaada.Punguzeni ngebe mna timu imechoka.Ni sawa na kufundisha fisi kupanda mti.Leo ilikuwa Bakari Ali na Beka Ali.Pipa na mfuniko.
 
Kwahiyo mkuu una imani na huyu kocha? Maana mimi nimeangalia wapinzani wetu wote watatu sijaona mpinzani anayetisha wote ni wa kawaida tu ila shida ni uzembe wa Yanga wenyewe ulinzi ovyo, kumalizia ovyo.
Hata kama hauna imani nae ila ndiye aliye kuwepo ni mgeni na ngumu kukupa matokeo ndani ya kipindi kifupi. Yanga walipo kosea kumuondoa Gamondi basi hii mistake itaicost Yanga kwa mda fulani kabla ya kukaa sawa.Ila kwa plan aliyo anza nayo alikuwa sahihi, ila akaja jilipua kipindi cha pili.
 
Naona tundu linakuwasha kinoma.
 
Kwa yule sioni Yanga ikifanya la maana. Hivi wana uhakika ni kocha wa football?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…