FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Manyani kuna kocha aliyewaita.Luc Eymael alipoachana na Utopolo alisema Utopolo ni manyani kazi yao kubweka.
 
Hawa vibonde wamenivurugia wikiendi na hiyo chupuchupu ya droo..
Nilisha hesabu kwishneiiiii....
 
Tunawasapoti sana kwenye kombe lenu la akina mama, na mkimaliza huko mshiriki mashindano ya big mamas, huko kombe ni uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…