FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Kikosi cha leo
1. Diara
2. Job
3. Kibabage
4. Mwamnyeto
5. Baka
6. Abuya
7. Max
8. Mudathir
9. Musonda
10. Aziz Ki
11. Pacome
 
Screenshot_20241214_151306_Instagram.jpg
 
Aisee!

Na leo tena na imani tunaenda kushinda.

Kila la kheri Dar Young Africans
 
Kuna kitu hakipo sawa pale jangwani ukianzia kwa Diara yani ni kama hana mzuka tena na timu au anaumwa hivi..
Hawa wachezaji wengi huwa hawapambanii timu kama timu bali wanajipambania wao wenyewe ili waonekane na timu kubwa zaidi na maslahi na heshima viongezeke malengo yao siyo kuishia simba au yanga tu, sasa inapotokea wanapambana kuanzia misimu miwili au mitatu mfululizo na kuendelea halafu hakuna timu kubwa zinazojitokeza kuwahitaji, au labda zinajitokeza ila timu walizopo zinawang'ang'ania hapo ndipo morali yao huanza kushuka na kujikuta wamezichoka timu walizopo
 
Kikosi cha leo
1. Diara
2. Yao
3. Kibabage
4. Mwamnyeto
5. Job
6. Abuya
7. Max
8. Mudathir
9. Musonda
10. Aziz Ki
11. Pacome

Baka majeruhi
 
Back
Top Bottom