Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Naona Tunaenda Kushinda Goal Kuanzia 3
TP Mazembe wapitie kwa MwamnyetoKikosi cha leo
1. Diara
2. Job
3. Kibabage
4. Mwamnyeto
5. Baka
6. Abuya
7. Max
8. Mudathir
9. Musonda
10. Aziz Ki
11. Pacome
Kibabage watu mnamlaumu bure ila katika rating za beki wa pembeni ametengeneza chance nyingi sana ila wamaliziaji ndio tatizoKibabage si wakuanza hii game
Subiri uone mpira safi kutoka Dar Young AfricansTP Mazembe wapitie kwa Mwamnyeto
Yanga nyingine au ileile?Subiri uone mpira safi kutoka Dar Young Africans
Hawa wachezaji wengi huwa hawapambanii timu kama timu bali wanajipambania wao wenyewe ili waonekane na timu kubwa zaidi na maslahi na heshima viongezeke malengo yao siyo kuishia simba au yanga tu, sasa inapotokea wanapambana kuanzia misimu miwili au mitatu mfululizo na kuendelea halafu hakuna timu kubwa zinazojitokeza kuwahitaji, au labda zinajitokeza ila timu walizopo zinawang'ang'ania hapo ndipo morali yao huanza kushuka na kujikuta wamezichoka timu walizopoKuna kitu hakipo sawa pale jangwani ukianzia kwa Diara yani ni kama hana mzuka tena na timu au anaumwa hivi..
Kimaaomaso jamani hata draw tukija Dar tuwagonge yaishe🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC
📆 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
SAA 10 jioniGame saa ngapi kwani??