permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Huu uwanja Simba anakaliaga kuanzia 4 na kuendelea.Utopolo wanataka kutoa utamu mwingine huko kongo. Du!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uwanja Simba anakaliaga kuanzia 4 na kuendelea.Utopolo wanataka kutoa utamu mwingine huko kongo. Du!
Shauri yao watapigwa na kitu kizito...Tp ni kama wanawadharau Yanga. ile intensity haipo haipo. Ni kama wanatamani Mpira uishe tu.
Alisikika Mzee Magoma🤣🤣🤣Muda wa kuchukua timu yetu
Manara ni tapeli wa mitandao, aendelee tu kuwa utopoloni akiwahujumu kwenye media.Wamsajili basi huyo Manara..mnamfanya yy ndo Mungu?
Wakati huo hao TP walikuwaje?? Hebu taja kikosi chao cha wakati huo hao Tipii mdhembeeHuu uwanja Simba anakaliaga kuanzia 4 na kuendelea.
Hawakukosea kushangilia, maana timu za kundi hili ni nyepesi sana, sema tu na wao wameshuka kiasiBaada ya makundi kumalizika kupangwa utopolo walishangilia sana
Tatizo mapafu yamejaa moshi wa shishaMazembe nao wame shachoka, Yanga wakiwa makini wanarudisha bao.
Simba ndio timu pekee kutoka Tanzania inaogopeka kwenye hiyo michuano. TP Mazembe ile iliyochukua ubingwa Afrika sio hiyo ya leo.Huu uwanja Simba anakaliaga kuanzia 4 na kuendelea.
Mazembe nao hawana timu, wamekutana na Yangu mbovu tu.Tp ni kama wanawadharau Yanga. ile intensity haipo haipo. Ni kama wanatamani Mpira uishe tu.
Nipo mjukuu. Ni pilika pilika tu zilinizidia mjukuu.Kwanza Babu ulipotelea wapii?
Aseeeh poleniiii
Yani mechi mbaya kweli wamekutana vibonde wa groupMazembe nao wame shachoka, Yanga wakiwa makini wanarudisha bao.