FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

hawa ma bwege T.R.A huwa wanatukazia balaaa ila wanachapwa kama kawaida
 
hawa ma bwege T.R.A huwa wanatukazia balaaa ila wanachapwa kama kawaida
Hakuna cha kukaziwa wala nini, Yanga kiwango kinaporomoka kwa kasi ya 5G tokea mechi ya Gaborone na ile ya Geita ilikuwa inaonekana kabisa timu ya Manqoba ni bovu
 
Mangoma mwitu Leo begi lake linatangulia NJIA panda ya ulaya
 
Usajili wa wachezaji mpk kocha ni mbovu, yani ni kama msimu ulopita tu.
 
Usajili wa wachezaji mpk kocha ni mbovu, yani ni kama msimu ulopita tu.
Kitendo cha Hersi kumuacha Miloud ndiyo matokeo yake ndiyo haya sasa. Alipata makocha wazuri akawadharau kwa ujuaji na sifa ya kujiona anajicho la scouting hivyo atapata replacement sahihi. Sasa kila anachokileta hamna kitu. Huu ndio msimu wa timu za Tanzania kufanya vizuri ligi ya mabingwa ila utashangaa bahati hii viongozi wa Yanga watashindwa kuchanga karata zao vyema ili watumie advantage ya kukosekana timu zenye uzoefu na ligi ya mabingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…