Kwani yule dalali wa Manqoba (Kibaigwa finest) anasemaje?Timu yangu ya Yanga sijui imekumbwa na nini! Wachezaji wengi wanacheza kawaida sana. Huoni wakijituma na kuipambania timu. Kama huyu Albert Kangwanda ndiyo anakatisha kabisa tamaa.
kwani tukiwa na kiwango chetu T.R.A akutupigaHakuna cha kukaziwa wala nini, Yanga kiwango kinaporomoka kwa kasi ya 5G tokea mechi ya Gaborone na ile ya Geita ilikuwa inaonekana kabisa timu ya Manqoba ni bovu
Wakati fulani kocha wa simba anaweza kulaumiwa na baadhi ya wachezaji lakini kwa upande wa uongozi na mashabiki ataendelea kusifiwa.Kwani yule dalali wa Manqoba (Kibaigwa finest) anasemaje?
weka 1 hapo kwa mabinga wajao wa Caf
Ngoma hamna kitu sio kiungo wa kumtegemea
Hamna kitu , na wachezaji wengi pia hovyo haswa eneo la kiungoVipi mchambuzi maboga yeye ni wa kutegemea?
Tayari??Yanga anafungwa moja
Yanga bingwa..ila ukiangalia Yanga tangu msimu uliopita alikua tia maji ni vile tu simba alipoteza gemu muhimu kifalaWakati fulani kocha wa simba anaweza kulaumiwa na baadhi ya wachezaji lakini kwa upande wa uongozi na mashabiki ataendelea kusifiwa.
Kwa sababu yeye kikosi chake ni kile kile. Humkuti anabadilisha hovyo. Wanaoanza na wanaoingia sub mara zote wanajulikana! Na timu inapata ushindi.
Huyu ndugu yetu Manqoba ndiyo hivyo tena. Hadi muda huu hana kikosi cha kwanza! Hajui aingie nani, atoke nani! Akili ya kuusoma mchezo hana! Wachezaji wengi hawana morali! Yaani ni mtihani.
Hapo ndio utagundua kuwa kwa kikosi kipana Yanga imeizidi Simba pakubwa sana, ila kocha hamna. Kocha wa Simba sub zake ni chache mno lakini unaona timu yake kuonesha kuimarika. Ila Yanga yenye kikosi kipana ndiyo inazidi kuwa mbovu siku hadi siku.Wakati fulani kocha wa simba anaweza kulaumiwa na baadhi ya wachezaji lakini kwa upande wa uongozi na mashabiki ataendelea kusifiwa.
Kwa sababu yeye kikosi chake ni kile kile. Humkuti anabadilisha hovyo. Wanaoanza na wanaoingia sub mara zote wanajulikana! Na timu inapata ushindi.
Huyu ndugu yetu Manqoba ndiyo hivyo tena. Hadi muda huu hana kikosi cha kwanza! Hajui aingie nani, atoke nani! Akili ya kuusoma mchezo hana! Wachezaji wengi hawana morali! Yaani ni mtihani.
Panga msimamo wa ligi wa vikosi vipanaHapo ndio utagundua kuwa kwa kikosi kipana Yanga imeizidi Simba pakubwa sana, ila kocha hamna. Kocha wa Simba sub zake ni chache mno lakini unaona timu yake kuonesha kuimarika. Ila Yanga yenye kikosi kipana ndiyo inazidi kuwa mbovu siku hadi siku.
TayariTayari??
Hapo ndio utagundua kuwa kwa kikosi kipana Yanga imeizidi Simba pakubwa sana, ila kocha hamna. Kocha wa Simba sub zake ni chache mno lakini unaona timu yake kuonesha kuimarika. Ila Yanga yenye kikosi kipana ndiyo inazidi kuwa mbovu siku hadi siku.