Naona wamepagawaPrison ni ndogo kwa Yanga, Hata Yanga wakiwa pungufu wanaweza kushinda bila tatizo, hapo ni maamuzi sahihi ya kochi kuingiza wachezaj watakaobadili muelekeo wa mechi kwa maana hii red card ni kama imewapa mchecheto wachezaji wa Yanga kiasi wanafanya makosa mengi
Yaani Miguel hajui kabisa wajibu wake kwa team yetuHajui afanye nini, pale hatuna kochi mkuu
Mtani bado mpaka useme.Mimi ni Yanga lia lia ila acha niseme ukweli team kwa sasa ni mbovu mno, kocha mbishi yeye na benchi lake la ufundi hawajui walitendalo kabisa 😁
Ili tuzuie sio badala ya kuongeza pressure kule mbeleGamondi badala ya kuingiza Fred anaingiza dili Lao guede
5imba huyo Mkuu.
Usikariri mpiraPrison ni ndogo kwa Yanga, Hata Yanga wakiwa pungufu wanaweza kushinda bila tatizo, hapo ni maamuzi sahihi ya kochi kuingiza wachezaj watakaobadili muelekeo wa mechi kwa maana hii red card ni kama imewapa mchecheto wachezaji wa Yanga kiasi wanafanya makosa mengi
inaisha suluhu hii