FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Niliwaambia hapa Sokoine pagumu.
Ona Uto wanapoteza muda tu hapa
 
Hii yanga ya sasahivi sio ile ya kabla ya disemba waliyompiga simba 5 , sasahivi wanacheza kichovu sana . Hawakabi watatu watatu Kama mwanzo , haikimbizi spidi Kama ya zamani , mwamnyeto anacheza Kama Mzee wa Miaka 70.
Dakika za mwisho wanashikilia bomba haikuwa style ya yanga hii .
Hawa wachezaji itakuwa wamezamishwa Kwenye mabwawa ya mademu wa Daressalaam.
Huu ushindi sio wa kufurahia sana sio style ya ushindi wa yanga hii .
 
Back
Top Bottom