Kumbe na kwenye mpira upo 😁 😁Mbaka ndo nini?
Taifa stars hainaga sera na utamaduni wa ushangiliaji. Tupo tupo sasa unafikiri wataimba nini sasa, kuna game ilijikuta Nairobi nikaenda Kasarani ikabidi tuimbe kidedea na singeli tuMashabiki Wa Tanzania Uwanjani wanaimba Kidedea ya Simba
Bora forward mabeki ndio pazia kabisaPia hatuna forward yenye uchu wa magoli. Sioni jinsi gani tutatengeneza magoli kwa hawa wachezaji tulionao.
HahahahaTaifa stars hainaga sera na utamaduni wa ushangiliaji. Tupo tupo sasa unafikiri wataimba nini sasa, kuna game ilijikuta Nairobi nikaenda Kasarani ikabidi tuimbe kidedea na singeli tu
[emoji1787]Mbaka ndo nini?
wameruhusu goli ngapi mpaka sasa hawa paziaBora forward mabeki ndio pazia kabisa
Sasa team kwa uchezaji huu nani ataenda kushangilia haina national spirit kabisa..Taifa stars hainaga sera na utamaduni wa ushangiliaji. Tupo tupo sasa unafikiri wataimba nini sasa, kuna game ilijikuta Nairobi nikaenda Kasarani ikabidi tuimbe kidedea na singeli tu