jaribu huu Live Sport Streams, Football, Soccer, Ice Hockey, Tennis, Basketball / LiveTVMkuu hii link mbona inakataa
Wacha achezi atakavyo bwana kun timu za taifa za kujituma lakini sio starsSamata anacheza ki father, anapoteza mipira kirahisi.
Mtu wa Simba kabisa amshangilie Mwamnyeto au mudathir [emoji23] siku huu ujinga ukitutoka tutasapotianaWatu wanazipenda Simba na Yanga kuliko hata timu Yao ya Taifa!Angalia Uzi umepoaaaa!
Kumbe wee nae ni cha boli...haya tupee tathmini ya kipindi cha kwanzaMtu wa Simba kabisa amshangilie Mwamnyeto au mudathir [emoji23] siku huu ujinga ukitutoka tutasapotiana
japo stars nao hawana chemistry
Inasikitisha Mno, Tumekua Watumwa. Tunazishobokea Timu za Wenzetu, Coz tu Zina Wachezaji Wa Simba na YangaYaan wabongo bhn yaan maelezo yametolewa hapo lakin bado wanauliza chanel gan aisee
Hata mods hawajaubariki Uzi Kwa kuuwekea chata nyekundu!Mtu wa Simba kabisa amshangilie Mwamnyeto au mudathir [emoji23] siku huu ujinga ukitutoka tutasapotiana
japo stars nao hawana chemistry
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mods hawajaubariki Uzi Kwa kuuwekea chata nyekundu!
amekusikia, ameshatolewa..!Najaribu kuwaza huyu kocha kafikiria nini kwa hii back line. Yule Said Khamis naona nizigo tu uwanjani hakabi anatakiwa atoke. Midfield haieleweki mbele kidogo Msuva anapambana
Hii timu ya Taifa imepoa sana. Haina mvuto kama Simba na Yanga. Wacha tuendelee kushabikia Simba na Yanga. Hii timu mhh!Nina bahati mbaya, siyo shabiki wa Taifa Stars...
Sijawahi ielewa kabisa. Tunahitaji kuanza chini kabisa, kukuza vipaji. Ili tuwe na team bora ya Taifa.
Anyway kila la kheri...
Kibu ondoa hapo, hakuna mchezaji paleHivi hata kina Israel Mwenda na Kibu mbona wana quality ya kuchezea hii timu na wangekuwa msaada mkubwa tu.