FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

Kikosi chetu cha uganda
20230324_164000.jpg
 
Tanzania ilisema lini inakubali ushoga?
Uganda imeupinga ushoga hadharani Hadi hao bwana zenu mabeberu wamebaki kulialia,.
viva Uganda[emoji1254][emoji1254], halafu huoni hata I'd yangu Mimi ni nani? Sio watu wote humu ni watz, nyie endeleeni kutoa tuzo kwa mashoga kama jf walivotoa tuzo ya jf celebrity kwa member shoga
 
Karibuni tena katika mechi kubwa ya kimataifa baina ya miamba wa soka hapa Afrika ya Mashariki, Uganda dhidi ya Tanzania katika kutafuta nafasi ya kufuzu Afcon 2023.

Mechi hii itapigwa kuanzia mida ya saa 11 jioni katika dimba la Suez Canal Jijini Ismailia na itarushwa na Azam sports kupitia chanel ya ZBC2

Kuwa nami paka mwisho...
Ivi ni kwanini inachezwa misri
 
Nimemwona okwi, nmekumbuka zile 5-0
Nategemea tena okwi atanifurahisha navile vyenga vyake kama vya chama.
 
Hivi kwanini siku hizi wajinga wanazidi kuongezeka Tanzania?

Taifa lina hasara sana hili.
Wanaongezeka kwa sababu walisoma wakafanya mitihani ya multiple choice. Hawawezi ku reason.
 
Huyu kocha kaingia na kichaa chake inakuwaje hakuna namba mbili halisi Wala namba tatu halisi zaidi ya job na huyu dismas,

Kocha anatafutiwa lawama za kuonekana hafai
 
Back
Top Bottom