Hata mi nasikia keleleNasikia makelele banda umiza, tutakuwa tumetakata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mi nasikia keleleNasikia makelele banda umiza, tutakuwa tumetakata
Kuna mechi ya mpira wa miguu kati ya Tanzania na UgandaMbona kelele nyingi vibandani, kuna nini?
Na sio tu Mechi, Bali Tanzania keshamkojolea mtu kimojaKuna mechi ya mpira wa miguu kati ya Tanzania na Uganda
Umeshajua mpaka ukaja kuulizia hapa.Mbona kelele nyingi vibandani, kuna nini?
Hahahahaaa,Msuva kafanya yake!Goli kama lile hakuna goal keeper anaweza kuchomoa!Mbona kelele nyingi vibandani, kuna nini?
Kichwa cha mwendawazimu kinaongoza 1 ugenini. Leo the Cranes wanapotea..Taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu
Kichwa cha mwendawazimu kinaongoza 1 ugenini. Leo the Cranes wanapotea..
15Bado dk ngapi?
Leo utaaibika kama kawaida yakoTwende na Uganda (The Cranes)[emoji3581]
View attachment 2563936
Nyie ndio wale mnaosifiaga mke wa jirani huku mnamnanga mkeoKichwa cha mwendawazimu kinaongoza 1 ugenini. Leo the Cranes wanapotea..
Mashabiki wa uto hao.Leo utaaibika