Bado ninalo mkuu..
Yanakutisha weweMajamaa yanatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea na updates mpaka filimbi ya kuhitimisha mechi....Free kick kwenda Yanga
Tulia mwiko watautoa polepole tu wala hutasikia maumivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah Wananchi [emoji617] wenzangu mbona mapigo ya moyo yameanza kwenda Kasi sana.. vipi nyinyi huko mlipo Mna Hali gani? Yaani kitu kinagonga chupi hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyway ushindi upo lakini.................... Daima front [emoji172][emoji169]
Yanga iko vizuri tuache utani