FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Muda na nafasi tunayo
[emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169]
 
Najitahidi kucheka kwa namna inayo mpendeza mungu [emoji16]
 
Mfungaji katokea eneo lile lile sawa na mfungaji wa bao la jana kwenye game ya Simba

Na header ni ile ile

Sijajua matokeo ya mwisho yatakuwa yale yale au niaje

Timu zetu hata ya taifa, huwa tunagungwa magoli ya kizembe sana...
 
Back
Top Bottom