OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #281
Mpira wa kurusha kwenda Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huwa mnadhani team mnayo kumbe viazi tu, haya kikowapi sasa[emoji23].Waganga wengi huko ukoloni
Na ww ukae humu mwanzo mwisho usikimbieMuendelee kuleta hizo updates mpaka mwisho. Musikimbie.
Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Kuna watu watatambaa leo[emoji23][emoji23]Mechi ya vigogo hii, Leo mpira utatembea balaa..
Yule mchezaji wa Monastr alifanyiwa faulo katika harakati za kugombania mpiraIla pale kama ilikuwa tuta