FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Ona wanavyo gombania ku type😁😁
Screenshot_20230212-193650_Samsung Internet.jpg
 
Nyuma mwiko
Kauli mbiu yetu iendelee
Mwenge na uangaze mahali popote
 
Yanga wanacheza vizuri, mpira wanatawala wao

Golini kwa mpinzani wanafika sana wao

Hawa Minastr wanawazidia wapi Yanga?
 
Back
Top Bottom